Jinsi ya kuunlock Motorola WX itumie mitandao yote

Hizi ni simu ambazo zimefungwa ili zitumie SIM Card ya mtandao mmoja tu kwahiyo ukiweka SIM Card ya mtandao mwingine inakuomba NCK Code

Kwa kutumia njia hii utaweza kuunlock Motorola WX Phones na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote ule

Motorola WX160
Motorola WX161
Motorola WX180
Motorola WX181
Motorola WX181A
Motorola WX181AA
Motorola WX260
Motorola WX265
Motorola WX280
Motorola WX288
Motorola WX290
Motorola WX290A
Motorola WX295

Waiting Time: 1min - 5minutes

Namna ya kuunlock simu ya Motorola WX itumie mtandao wowote
1. Insert unaccepted SIM Card kisha washa simu yako
2. Itakuomba NCK Code
3. Weka NCK Code ulizotumiwa na timu ya Fahusvera
4. Bonyeza Accept

Hongera! Mpaka hapo umefanikiwa kuunlock simu ya Motorola WX na utaweza kutumia SIM card ya mtandao wowote

Tags: How to unlock Motorola WX160, how to unlock Motorola WX161, how to unlock Motorola WX180, how to unlock Motorola WX181, how to unlock Motorola WX181A, how to unlock Motorola WX181AA, how to unlock Motorola WX260, How to unlock Motorola WX265, How to unlock Motorola WX280, how to unlock Motorola WX288, how to unlock Motorola WX290, How to unlock Motorola WX290A, how to unlock Motorola WX295

No comments