Jinsi ya kuunlock M022T Vida M2 LTE Madagascar

Hii ni router ya Home Internet 4G iliyofungwa ili itumie SIM Card ya mtandao mmoja tu na ukiweka SIM Card ya mtandao mwingine inakuletea ujumbe wa Device Locked

Kwa kutumia njia hii, utaweza kuunlock M022T Vida M2 LTE Madagascar na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote ule kulingana na mahitaji yako.

Muhimu
- Hakikisha hakuna kifaa kingine kimechomekwa kwenye computer isipokuwa router yako.
- Hakikisha computer yako ina charge 50% na kuendelea
- Usitumie Unlocked firmware tofauti na hii uta-brick router yako. Itakufa jumla
- Usizime computer yako kipindi cha kurun unlocked firmware
- Usichomoe router yako kipindi cha kurun unlocked firmware
- Soma kwanza maelezo kabla ya kuunlock router yako
- Hatua moja ni muhimu sana, ukiruka hatua moja basi hatua nyingine haitafanya kazi

Jinsi ya kuunlock M022T Vida M2 LTE Madagascar mtandao wowote
1. Install M022T Vida driver kwenye computer yako
2. Weka SIM Card ya mtandao mwingine
3. Chomeka router yako kwenye computer kwa USB Cable
4. Run M022T Vida unlocked firmware. Bonyeza Start >>>> Next kisha iache mpaka imalizike. Ikimaliza, bonyeza Finish

Hongera! Mpaka hapo utakuwa umefanikiwa kuunlock M022T Vida M2 LTE Madagascar na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote ule

Tags: Jinsi ya kuunlock M022T Vida M2 LTE Madagascar, Jinsi ya kuunlock Mifi M022T Vida M2 LTE Madagascar, namna ya kufungua M022T Vida M2 LTE Madagascar itumie mitandao yote, namna ya kufungua MIFI M022T Vida M2 LTE Madagascar, Namna ya kufungua M022T Vida M2 LTE Madagascar, how to unlock M022T Vida M2 LTE Madagascar, how to unlock 4G LTE M022T Vida M2 LTE Madagascar, how to unlock MIFI M022T Vida M2 LTE Madagascar, Download M022T Madagascar firmware, Download M022T Firmware, Download firmware for M022T Vida M2 LTE Madagascar

No comments