Jinsi ya kuunlock M022T LCD L02HA_1_10 Permanent Solution

Hii ni router ambayo imefungwa ili utumie SIM Card moja na ukiweka SIM Card ya mtandao mwingine inakuomba PH NET PIN

Kwa kutumia njia hii, utaweza kuunlock M022T LCD L02HA_1_10 na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote ule unaoutaka.

Muhimu
- Hakikisha hakuna kifaa kingine kimechomekwa kwenye computer isipokuwa router yako.
- Hakikisha computer yako ina charge 50% na kuendelea
- Usitumie Unlocked firmware tofauti na hii uta-brick router yako. Itakufa jumla
- Usizime computer yako kipindi cha kurun unlocked firmware
- Usichomoe router yako kipindi cha kurun unlocked firmware
- Soma kwanza maelezo kabla ya kuunlock router yako
- Hatua moja ni muhimu sana, ukiruka hatua moja basi hatua nyingine haitafanya kazi

Namna ya kuunlock M022T LCD L02HA_1_10 itumie mtandao wowote
1. Install M022T Driver
2. Run M022T unlocked Firmware
3. Soma maelezo ya PDF kwenye File

Hongera! Mpaka hapa utakuwa umefanikiwa kuunlock M022T LCD L02HA_1_10 na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote

No comments