Jinsi ya kuunlock LG Phone Old Model itumie mitandao yote
Hizi ni simu ambazo zimefungwa ili zitumie SIM Card ya mtandao mmoja tu kwahiyo ukiweka SIM Card ya mtandao mwingine inakuomba NCK Code
Kwa kutumia njia hii utaweza kuunlock LG Phones na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote ule
LG 510/520
LG 510W Type 1 & Type 2
LG 7010/7020
LG B1200/M1200
LG B1300/1300
LG G510
LG KG110
LG W3000
Waiting Time: 1min - 5minutes
Namna ya kuunlock simu ya LG Old Model itumie mtandao wowote
1. Insert unaccepted SIM Card kisha washa simu yako
2. Piga hizi code 2945#*5101#.
3. Bonyeza Menu 555
4. Network
5. Unlock
6. Weka NCK Code ulizotumiwa na timu ya Fahusvera
7. Bonyeza Accept
Hongera! Mpaka hapo umefanikiwa kuunlock simu ya LG na utaweza kutumia SIM card ya mtandao wowote
Post a Comment