Jinsi ya kuunlock Vodafone Huawei K4203 itumie mitandao yote

Hii ni modem iliyofungwa ili itumie SIM Card ya mtandao mmoja na ukiweka SIM Card ya mtandao mwingine itakuomba NCK Code

Kwa kutumia njia hii, utaweza kuunlock Huawei K4203 na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote kulingana na mahitaji yako

Waiting Time: 1min - 5minutes

Namna ya kuunlock Huawei K4203 itumie mitandao yote
1. Weka SIM Card ya mtandao mwingine kisha chomeka modem yako kwenye computer
2. Dashboard ya modem yako itafunguka
3. Itaomba NCK Code
4. Weka NCK Code ulizotumiwa na timu ya Fahusvera
5. Bonyeza OK

Hongera! Mpaka hapo utakuwa umefanikiwa kuunlock Huawei K4203 na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote

No comments