Jinsi ya kuunlock E5372s Zain itumie mitandao yote
Hii ni router inayotumia SIM Card ya Zain tu ambapo ukiweka SIM Card ya mtandao mwingine inakuomba NCK Code
Kwa kutumia njia ya hii, utaweza kuunlock Huawei E5372s Zain na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote ule unaoutaka
Muhimu
- Hakikisha hakuna kifaa kingine kimechomekwa kwenye computer isipokuwa router yako tu.
- Hakikisha computer yako ina charge 50% na kuendelea
- Usitumie Unlocked firmware tofauti na hizi uta-brick modem yako. Itakufa jumla
- Usizime computer yako kipindi cha kurun unlocked firmware
- Usichomoe router yako kipindi cha kurun unlocked firmware
- Soma kwanza maelezo kabla ya kuunlock router yako
- Hatua moja ni muhimu sana, ukiruka hatua moja basi hatua nyingine haitafanya kazi
Namna ya kuunlock Huawei E5372s Zain itumie mtandao wowote
1. Install Huawei Data card driver kwenye computer yako
2. Chomeka router yako kwenye computer kwa USB Cable ikiwa haina SIM Card
3. Nukuu IMEI, funua mfuniko wa router au run DC Unlocker as administartor, bonyeza magnifying glass. Utaona IMEI ya router yako.
4. Run SBC Code Calculator kisha bonyeza Huawei, weka IMEI kisha bonyeza Calculate kupata Flash Code
5. Run E5372s Zain unlocked firmware, Bonyeza Start, itaomba password. Weka za flash code ulizozipata kwenye hatua namba 4 kisha bonyeza OK. Subiri mpaka imalize kisha bonyeza Finish
6. Chomoa router yako kwenye computer
7. Weka SIM Card ya mtandao mwingine kisha washa router yako
8. Unganisha router yako na computer kwa WI-FI
9. Itafunguka browser yenye address kama hii 192.168.1.1/simlock.asp kama itashindikana kufunguka copy hii address
http://192.168.1.1/html/simlockrequired.html na paste kwenye browser yoyote ile ya computer yako. Weka User Name na Password kisha bonyeza Log In
10. Weka NCK Unlock Code ulizotumiwa na timu ya Fahusvera kisha bonyeza Apply.

Hongera! Umefanikiwa kuunlock Huawei E5372s Zain na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote ule unaotaka
Tags: Jinsi ya kuunlock E5372s Zain, jinsi ya kuunlock Huawei E5372s Zain, jinsi ya kufungua E5372s Zain, jinsi ya kufungua Huawei E5372s Zain, download firmware for E5372s Zain, download firmware for Huawei E5372s Zain, download E5372s Zain, download Huawei E5372s Zain firmware
Post a Comment