Jinsi ya kuunlock E5372 itumie mitandao yote
Hii ni router ya E5372 ambayo inatumia SIM Card ya mtandao mmoja tu kwahiyo ukiweka SIM Card ya mtandao mwingine inakuomba NCK Code.
Kwa kutumia njia hii utaweza kuunlock E5372 na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote ule unaoutaka
Waiting Time: 1min - 5minitus
Namna ya kuunlock Huawei E5372 itumie mitandao yote
1. Weka SIM Card ya mtandao mwingine kisha washa router yako
2. Unganisha router yako na computer kwa WI-FI
3. Itafunguka browser yenye address kama hii 192.168.1.1/simlock.asp kama itashindikana kufunguka copy hii address
http://192.168.1.1/html/simlockrequired.html na paste kwenye browser yoyote ile ya computer yako
> Weka User Name na Password kisha bonyeza Log In
4. Weka NCK Unlock Code ulizotumiwa na timu ya Fahusvera kisha bonyeza Apply.

Hongera! Mpaka hapo utakuwa umefanikiwa kuunlock E5372 na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote

Tags: Jinsi ya kuunlock E5372 by IMEI number, Jinsi ya kuunlock Huawei E5372 by IMEI Number, namna ya kuunlock E5372 by code, namna ya kuunlock Huawei E5372 by Code, jinsi ya kufungua Huawei E5372 by IMEI Number, Jinsi ya kufungua E5372 by IMEI Number, Jinsi ya kufungua Huawei E5372 by Code, jinsi ya kufungua E5372 by Code, how to unlock Huawei E5372 by IMEI Number, how to unlock E5372 by IMEI Number, download Huawei E5372 firmware, download E5372 Firmware, Download firmware for Huawei E5372, download firmware for E5372
Post a Comment