Jinsi ya kuunlock E5172AS-22 itumie mitandao yote
Hii ni router ya E5172AS-22 ambayo inatumia SIM Card ya mtandao mmoja tu kwahiyo ukiweka SIM Card ya mtandao mwingine inakuomba NCK Code.
Kwa kutumia njia hii utaweza kuunlock E5172AS-22 na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote ule unaoutaka
Waiting Time: 1min - 5minitus
Namna ya kuunlock Huawei E5172AS-22 itumie mitandao yote
1. Weka SIM Card ya mtandao mwingine kisha washa router yako
2. Unganisha router yako na computer kwa WI-FI
3. Itafunguka browser yenye address kama hii 192.168.1.1/simlock.asp kama itashindikana kufunguka copy hii address
http://192.168.1.1/html/simlockrequired.html na paste kwenye browser yoyote ile ya computer yako
> Weka User name na Password kisha bonyeza Log In
4. Weka NCK Unlock Code ulizotumiwa na timu ya Fahusvera kisha bonyeza Apply.Hongera! Mpaka hapo utakuwa umefanikiwa kuunlock E5172AS-22 na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote
Post a Comment