Jinsi ya kuunlock E303s-1 Tigo Congo (21.158.13.00.423)
Hii ni modem ya Huawei E303s-1 Tigo Congo ambayo inatumia SIM Card wa Tigo Congo Tanzania tu kwahiyo ukiweka SIM card ya mtandao mwingine inakuandikia Invalid SIM Card
Kwa kutumia njia hii utaweza kuunlock modem yako ya E303s-1 Tigo Congo na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote ule unaoutaka
Muhimu
- Hakikisha hakuna kifaa kingine kimechomekwa kwenye computer isipokuwa modem yako.
- Hakikisha computer yako ina charge 50% na kuendelea
- Usitumie Unlocked firmware tofauti na hii uta-brick modem yako. Itakufa jumla
- Usizime computer yako kipindi cha kurun unlocked firmware
- Usichomoe modem yako kipindi cha kurun unlocked firmware
- Soma kwanza maelezo kabla ya kuunlock modem yako
- Hatua moja ni muhimu sana, ukiruka hatua moja basi hatua nyingine haitafanya kazi
8. Weka Unlock Code ambazo ni 8 digits kisha bonyeza OK

Namna ya kuunlock Huawei E303s-1 Tigo Congo itumie mitandao yote
1. Chomeka modem kwenye computer ikiwa na laini ya mtandao mwingine. Ikifungua dashboard, funga.
2.
Run Universal Master Code. Weka IMEI za modem zako kisha bonyeza calculate kupata Flash code (Hizi ndizo zinazohitajika)
3. Run Huawei E303s-1 Tigo Unlocked Firmware. Bonyeza Start, ikiomba password. Weka za Flash Code kisha bonyeza OK. Ikimaliza, Bonyeza Finish
4. Run Huawei Modem Code Writer. Bonyeza kwenye Please Select Com Port
5. Bonyeza kwenye Detect kisha chagua COM Port ya modem yako
6. Bonyeza Accept
7. Bonyeza Unlock Modem
8. Weka Unlock Code ambazo ni 8 digits kisha bonyeza OK
Hongera! Mpaka hapa utakuwa umefanikiwa kuunlock E303s-1 Tigo Congo na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote ule unaoutaka.
Tags: Jinsi ya kuunlock E303s-1 Tigo Congo, Jinsi ya kuunlock Huawei E303s-1 Tigo Congo, namna ya kufungua E303s-1 Tigo Congo itumie mitandao yote, namna ya kufungua Huawei E303s-1 Tigo Congo, how to unlock E303s-1 Tigo Congo, how to unlock Huawei E303s-1 Tigo Congo, Download E303s-1 Tigo Congo firmware, Download E303s-1 Tigo Firmware, Download firmware for E303s-1 Tigo Congo, Download Huawei E303s-1 Tigo Congo Firmware
Post a Comment