Jinsi ya kuunlock Doro Phone Old Model itumie mitandao yote
Hizi ni simu ambazo zimefungwa ili zitumie SIM Card ya mtandao mmoja tu kwahiyo ukiweka SIM Card ya mtandao mwingine inakuomba NCK Code
Kwa kutumia njia hii utaweza kuunlock Doro Phones na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote ule
Doro 345
Doro 345 GSM
Doro 409
Doro 409s
Doro 410
Doro 410s
Doro 610
Doro 610s
Waiting Time: 1min - 5minutes
Namna ya kuunlock simu ya Doro itumie mtandao wowote
1. Insert unaccepted SIM Card kisha washa simu yako
2. Piga hizi code *#787464#. Itakuomba NCK Code
3. Weka NCK Code ulizotumiwa na timu ya Fahusvera
4. Bonyeza Accept
Hongera! Mpaka hapo umefanikiwa kuunlock simu ya Doro na utaweza kutumia SIM card ya mtandao wowote
Post a Comment