Jinsi ya kuunlock BlackBerry 8220 itumie mitandao yote

Hii ni simu ya BlackBerry ambayo imefungwa ili itumie SIM Card ya mtandao mmoja na ukiweka SIM Card ya mtandao mwingine inakuomba NCK Code

Kwa kutumia njia hii, utaweza kuunlock simu ya Blackberry 8220 na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote

Waiting Time: 1min - 5minutes

Namna ya kuunlock BlackBerry 8220 itumie mtandao wowote
1. Weka SIM Card ya mtandao mwingine kisha washa simu yako
2. Nenda Settings >>>>> Security & Privacy >>>>> 
SIM Card
3. Bonyeza Unlock Network
4. Weka NCK code ulizotumiwa kisha bonyeza OK

Hongera! Mpaka hapo umefanikiwa kuunlock simu ya Blackberry 8220 na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote

Tags: jinsi ya kuunlock Blackberry 8220, namna ya kufungua simu ya Blackberry 8220, jinsi ya kuunlock simu ya Blackberry 8220, how to unlock Blackberry 8220 by IMEI Number, how to unlock Blackberry 8220 by Code, how to unlock 8220 by NCK Code

No comments