Jinsi ya kuunlock B311s-220 Nur Telecom itumie mitandao yote
Hii ni router ambayo imefungwa ili utumie SIM Card moja tu wa Nur Telecom na ukiweka SIM Card ya mtandao mwingine inakuomba NCK Code
Kwa kutumia njia hii, utaweza kuunlock Huawei B311s-220 Nur Telecom na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote ule unaoutaka.
Muhimu
- Hakikisha hakuna kifaa kingine kimechomekwa kwenye computer isipokuwa router yako.
- Hakikisha computer yako ina charge 50% na kuendelea
- Usitumie Unlocked firmware tofauti na hii uta-brick router yako. Itakufa jumla
- Usizime computer yako kipindi cha kurun unlocked firmware
- Usichomoe router yako kipindi cha kurun unlocked firmware
- Soma kwanza maelezo kabla ya kuunlock router yako
- Hatua moja ni muhimu sana, ukiruka hatua moja basi hatua nyingine haitafanya kazi
Namna ya kuunlock Huawei B311s-220 Nur Telecom
1. Install Huawei Drivers i.e FC Serial Driver & Huawei Datacard Driver
2. Run Huawei B311s-220 unlocked Firmware
3. Soma maelezo ya PDF kwenye File
Hongera! Mpaka hapa utakuwa umefanikiwa kuunlock B311s-220 Nur Telecom na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote

Post a Comment