Jinsi ya kuunlock Alcatel Y855V itumie mitandao yote

Hii ni router ambayo inayotumia SIM Card ya mtandao mmoja tu kwahiyo ukiweka SIM Card ya mtandao mwingine inakuomba NCK Code.

Kwa kushirikikiana na timu ya Fahusvera, utaweza kuinlock router yako ya Alcatel Y855V na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote ule unaoutaka.

Waiting Time: 1min - 5minutes

Namna ya kuunlock Alcatel Onetouch Y855V itumie mitandao yote
1. Weka SIM Card ya mtandao mwingine kwenye router yako
2. Unganisha router yako na Computer kwa Wifi
3. Itafunguka browser yenye address kama hii 192.168.1.1
4. Jaza User Name na Password kisha bonyeza Log in
5. Itakuomba NCK Code
6. Weka NCK Code ulizotumiwa na timu ya Fahusvera
7. Bonyeza Apply

Hongera! Umefanikiwa kuunlock Alcatel Onetouch Y855V na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote

Jinsi ya kuunlock Alcatel Y855V itumie mtandao wowote, namna ya kuunlock Alcatel Y855V itumie mitandao yote, jinsi ya kuunlock Alcatel onetouch Y855V, jinsi ya kuunlock Alcatel Y855V itumie mtandao wowote, namna ya kufungua Alcatel Y855V itumie mitandao yote, jinsi ya kufungua Alcatel Y855V itumie mitandao yote, jinsi ya kufungua modem ya Y855V itumie mitandao yote, namna ya kuunlock modem ya Y855V, namna ya kuunlock Alcatel onetouch Y855V, how to unlock Alcatel Y855V, how to unlock Y855V, how to unlock Alcatel onetouch Y855V, how to unlock Alcatel Y855V, how to unlock Alcatel onetouch Y855V

No comments