Jinsi ya kuunlock Alcatel Y280X itumie mitandao yote

Hii ni modem ambayo inayotumia SIM Card ya mtandao mmoja tu kwahiyo ukiweka laini ya mtandao mwingine inakuomba NCK Code.

Kwa kushirikikiana na timu ya Fahusvera, utaweza kuunlock modem yako ya Alcatel Y280X na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote ule unaoutaka.

Waiting Time: 1min - 5minutes

Namna ya kuunlock Alcatel Y280X itumie mitandao yote
1. Weka SIM Card ya mtandao mwingine kwenye modem yako
2. Chomeka modem yako kwenye computer
3. Itafunguka browser yenye address kama hii 192.168.1.1
4. Jaza User Name na Password kisha bonyeza Log in
5. Itakuomba NCK Code
6. Weka NCK Code ulizotumiwa na timu ya Fahusvera
7. Bonyeza Apply

Hongera! Umefanikiwa kuunlock Alcatel Onetouch Y280X na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote ule unaotaka

Tags: Jinsi ya kuunlock Alcatel Y280X itumie mtandao wowote, namna ya kuunlock Alcatel Y280X itumie mitandao yote, jinsi ya kuunlock Alcatel onetouch Y280X, jinsi ya kuunlock Alcatel Y280X itumie mtandao wowote, namna ya kufungua Alcatel Y280X itumie mitandao yote, jinsi ya kufungua Alcatel Y280X itumie mitandao yote, jinsi ya kufungua modem ya Y280X itumie mitandao yote, namna ya kuunlock modem ya Y280X, namna ya kuunlock Alcatel onetouch Y280X, how to unlock Alcatel Y280X, how to unlock Y280X, how to unlock Alcatel onetouch Y280X, how to unlock Alcatel Y280X, how to unlock Alcatel onetouch Y280X

No comments