Jinsi ya kuunlock Alcatel X215S itumie mitandao yote
Hii ni modem ambayo inayotumia SIM Card ya mtandao mmoja tu kwahiyo ukiweka SIM Card ya mtandao mwingine inakuomba NCK Code.
Kwa kushirikikiana na timu ya Fahusvera, utaweza kuunlock modem yako ya Alcatel X215S na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote ule unaoutaka.
Waiting Time: 1min - 5minutes
Namna ya kuunlock Alcatel X215S itumie mitandao yote
1. Weka SIM Card ya mtandao mwingine kwenye modem yako
2. Chomeka modem yako kwenye computer
3. Itafunguka browser yenye address 192.168.1.1
4. Jaza User Name na Password kisha bonyeza "OK"
5. Itakuomba NCK Code
6. Weka NCK Code ulizotumiwa na timu ya Fahusvera
7. Bonyeza "OK"
Hongera! Umefanikiwa kuunlock Alcatel Onetouch X215S na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote ule unaotaka

Tags: Jinsi ya kuunlock X215S itumie mtandao wowote, namna ya kuunlock Alcatel X215S itumie mitandao yote, jinsi ya kuunlock Alcatel onetouch X215S, jinsi ya kuunlock Alcatel X215S itumie mtandao wowote, namna ya kufungua Alcatel X215S itumie mitandao yote, jinsi ya kufungua Alcatel X215S itumie mitandao yote, jinsi ya kufungua modem ya X215S itumie mitandao yote, namna ya kuunlock modem ya X215S, namna ya kuunlock Alcatel onetouch X215S, how to unlock Alcatel X215S, how to unlock X215S, how to unlock Alcatel onetouch X215S, how to unlock Alcatel X215S, how to unlock Alcatel onetouch X215S
Post a Comment