Jinsi ya kuunlock Alcatel X090S itumie mitandao yote

Hii ni modem ambayo inayotumia SIM Card ya mtandao mmoja tu kwahiyo ukiweka SIM Card ya mtandao mwingine inakuomba NCK Code.

Kwa kutumia njia hii, utaweza kuunlock modem yako ya Alcatel X090S na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote.

Waiting Time: 1min - 5minutes

Namna ya kuunlock Alcatel X090S itumie mitandao yote
1. Weka SIM Card ya mtandao mwingine kwenye modem yako
2. Chomeka modem yako kwenye computer
3. Itafunguka browser yenye address 192.168.1.1
4. Jaza User Name na Password kisha bonyeza OK
5. Itakuomba Unlock Code
6. Weka Unlock Code ulizotumiwa na timu ya Fahusvera
7. Bonyeza OK

Hongera! Umefanikiwa kuunlock Alcatel Onetouch X090S na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote ule unaotaka

Tags: Jinsi ya kuunlock X090S itumie mtandao wowote, namna ya kuunlock Alcatel X090S itumie mitandao yote, jinsi ya kuunlock Alcatel onetouch X090S, jinsi ya kuunlock Alcatel X090S itumie mtandao wowote, namna ya kufungua Alcatel X090S itumie mitandao yote, jinsi ya kufungua Alcatel X090S itumie mitandao yote, jinsi ya kufungua modem ya X090S itumie mitandao yote, namna ya kuunlock modem ya X090S, namna ya kuunlock Alcatel onetouch X090S, how to unlock Alcatel X090S, how to unlock X090S, how to unlock Alcatel onetouch X090S, how to unlock Alcatel X090S, how to unlock Alcatel onetouch X090S

No comments