Jinsi ya kuunlock Alcatel X030X itumie mitandao yote

Hii ni modem ambayo inayotumia SIM Card ya mtandao mmoja tu kwahiyo ukiweka laini ya mtandao mwingine inakuomba NCK Code.

Kwa kutumia njia hii, utaweza kuunlock modem yako ya Alcatel X030X na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote.

Waiting Time: 1min - 5minutes

Namna ya kuunlock Alcatel X030X itumie mitandao yote
1. Weka SIM Card ya mtandao mwingine kwenye modem yako
2. Chomeka kwenye computer
3. Itafunguka browser yenye address 192.168.1.1
4. Jaza User Name na Password kisha bonyeza Log in
5. Itakuomba Unlock Code
6. Weka Unlock Code ulizotumiwa na timu ya Fahusvera
7. Bonyeza Apply

Hongera! Umefanikiwa kuunlock Alcatel Onetouch X030X na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote ule unaotaka


Tags: Jinsi ya kuunlock X030X itumie mtandao wowote, namna ya kuunlock Alcatel X030X itumie mitandao yote, jinsi ya kuunlock Alcatel onetouch X030X, jinsi ya kuunlock Alcatel X030X itumie mtandao wowote, namna ya kufungua Alcatel X030X itumie mitandao yote, jinsi ya kufungua Alcatel X030X itumie mitandao yote, jinsi ya kufungua modem ya X030X itumie mitandao yote, namna ya kuunlock modem ya X030X, namna ya kuunlock Alcatel onetouch X030X, how to unlock Alcatel X030X, how to unlock X030X, how to unlock Alcatel onetouch X030X, how to unlock Alcatel X030X, how to unlock Alcatel onetouch X030X

No comments