Jinsi ya kuunlock Alcatel V345 itumie mitandao yote
Hii ni modem ambayo inayotumia SIM Card ya mtandao mmoja tu kwahiyo ukiweka SIM Card ya mtandao mwingine inakuomba NCK Code.
Kwa kutumia njia hii, utaweza kuunlock modem yako ya Alcatel V345 na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote.
Waiting Time: 1min - 5minutes
Namna ya kuunlock Alcatel V345 itumie mitandao yote
1. Weka SIM Card ya mtandao mwingine kwenye modem yako
2. Chomeka kwenye computer
3. Itafunguka browser yenye address 192.168.1.1
4. Jaza User Name na Password kisha bonyeza Log in
5. Itakuomba Unlock Code
6. Weka Unlock Code ulizotumiwa na timu ya Fahusvera
7. Bonyeza Apply
Hongera! Umefanikiwa kuunlock Alcatel Onetouch V345 na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote ule unaotaka

Tags: Jinsi ya kuunlock V345 itumie mtandao wowote, namna ya kuunlock Alcatel V345 itumie mitandao yote, jinsi ya kuunlock Alcatel onetouch V345, jinsi ya kuunlock Alcatel V345 itumie mtandao wowote, namna ya kufungua Alcatel V345 itumie mitandao yote, jinsi ya kufungua Alcatel V345 itumie mitandao yote, jinsi ya kufungua modem ya V345 itumie mitandao yote, namna ya kuunlock modem ya V345, namna ya kuunlock Alcatel onetouch V345, how to unlock Alcatel V345, how to unlock V345, how to unlock Alcatel onetouch V345, how to unlock Alcatel V345, how to unlock Alcatel onetouch V345
Post a Comment