Jinsi ya kuunlock Alcatel S220L itumie mitandao yote

Hii ni modem ambayo inayotumia SIM Card ya mtandao mmoja tu kwahiyo ukiweka SIM Card ya mtandao mwingine inakuomba NCK Code.

Kwa kutumia njia hii, utaweza kuunlock modem yako ya Alcatel S220L na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote.

Waiting Time: 1min - 5minutes

Namna ya kuunlock Alcatel S220L itumie mitandao yote
1. Weka SIM Card ya mtandao mwingine kwenye modem yako
2. Chomeka modem yako kwenye computer
3. Itafunguka browser yenye address 192.168.1.1
4. Jaza User Name na Password kisha bonyeza Log in
5. Itakuomba Unlock Code
6. Weka Unlock Code ulizotumiwa na timu ya Fahusvera
7. Bonyeza Apply

Hongera! Umefanikiwa kuunlock Alcatel Onetouch S220L na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote ule unaotaka

No comments