Jinsi ya kuunlock Alcatel MW41NF itumie mitandao yote

Hii ni router ambayo imefungwa na inayokutaka utumie SIM Card ya mtandao mmoja tu kwahiyo ukiweka laini ya mtandao mwingine inakuomba NCK Code.

Kwa kushirikikiana na timu ya Fahusvera, utaweza kufungua router yako ya Alcatel MW41NF na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote ule unaoutaka.

Waiting Time: 1min - 5minutes

Namna ya kuunlock Alcatel Onetouch MW41NF itumie mitandao yote
1. Weka SIM Card ya mtandao mwingine
2. Unganisha router yako na Computer kwa Wi-Fi
3. Itafunguka browser.Bonyeza Más

4. Jaza User Name na Password kisha bonyeza OK
5. Itakuomba NCK Code. Weka NCK Code ulizotumiwa na timu ya Fahusvera
 7. Bonyeza Aceptar  

Hongera! Umefanikiwa kuunlock Alcatel Onetouch MW41NF na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote

Tags: Jinsi ya kuunlock MW41NF itumie mtandao wowote, namna ya kuunlock Alcatel MW41NF itumie mitandao yote, jinsi ya kuunlock Alcatel onetouch MW41NF, jinsi ya kuunlock Alcatel MW41NF itumie mtandao wowote, namna ya kufungua Alcatel MW41NF itumie mitandao yote, jinsi ya kufungua Alcatel MW41NF itumie mitandao yote, jinsi ya kufungua modem ya MW41NF itumie mitandao yote, namna ya kuunlock modem ya MW41NF, namna ya kuunlock Alcatel onetouch MW41NF, how to unlock Alcatel MW41NF, how to unlock MW41NF, how to unlock Alcatel onetouch MW41NF, how to unlock Alcatel MW41NF, how to unlock Alcatel onetouch MW41NF

No comments