Jinsi ya kuunlock Alcatel MW41CL itumie mitandao yote
Hii ni router ambayo inatumia SIM Card ya mtandao mmoja tu, ukiweka SIM Card ya mtandao mwingine inakuomba NCK Code.
Kwa kushirikikiana na timu ya Fahusvera, utaweza kuunlock Alcatel MW41CL na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote ule.
Waiting Time: 1min - 5minutes
Namna ya kuunlock Alcatel MW41CL itumie mitandao yote
1. Weka SIM Card ya mtandao mwingine kwenye router yako
2. Unganisha router na Computer kwa Wifi
3. Itafunguka browser
4. Jaza User Name na Password kisha bonyeza "OK"
5. Itakuomba NCK Code
6. Weka NCK Code ulizotumiwa na timu ya Fahusvera
7. Bonyeza OK""
Hongera! Umefanikiwa kuunlock Alcatel MW41CL na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote

Tags: Jinsi ya kuunlock MW41CL itumie mtandao wowote, namna ya kuunlock Alcatel MW41CL itumie mitandao yote, jinsi ya kuunlock Alcatel onetouch MW41CL, jinsi ya kuunlock Alcatel MW41CL itumie mtandao wowote, namna ya kufungua Alcatel MW41CL itumie mitandao yote, jinsi ya kufungua Alcatel MW41CL itumie mitandao yote, jinsi ya kufungua modem ya MW41CL itumie mitandao yote, namna ya kuunlock modem ya MW41CL, namna ya kuunlock Alcatel onetouch MW41CL, how to unlock Alcatel MW41CL, how to unlock MW41CL, how to unlock Alcatel onetouch MW41CL, how to unlock Alcatel MW41CL, how to unlock Alcatel onetouch MW41CL
Post a Comment