Jinsi ya kuunlock Alcatel L850V Telecom Gabon itumie mitandao yote

Hii ni modem ambayo inayotumia SIM Card ya mtandao mmoja tu kwahiyo ukiweka SIM Card ya mtandao mwingine inakuomba NCK Code.

Kwa kushirikikiana na timu ya Fahusvera, utaweza kuunlock modem yako ya Alcatel L850V Gabon Telecom na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote ule unaoutaka.

Waiting Time: 1min - 5minutes

Namna ya kuunlock Alcatel L850V Telecom Gabon itumie mitandao yote
1. Weka SIM Card ya mtandao mwingine kwenye modem yako
2. Chomeka modem yako kwenye computer
3. Itafunguka browser yenye address kama hii 192.168.1.1
4. Jaza User Name na Password kisha bonyeza OK
5. Itakuomba NCK Code
6. Weka NCK Code ulizotumiwa na timu ya Fahusvera
7. Bonyeza OK

Hongera! Umefanikiwa kuunlock Alcatel Onetouch L850V Telecom Gabon na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote
.

Tags: Jinsi ya kuunlock L850V Gabon Telecom itumie mtandao wowote, namna ya kuunlock Alcatel L850V Gabon Telecom itumie mitandao yote, jinsi ya kuunlock Alcatel onetouch L850V Gabon Telecom, jinsi ya kuunlock Alcatel L850V Gabon Telecom itumie mtandao wowote, namna ya kufungua Alcatel L850V Telecom Gabon itumie mitandao yote, jinsi ya kufungua Alcatel L850V Telecom Gabon itumie mitandao yote, jinsi ya kufungua modem ya L850V Telecom Gabon itumie mitandao yote, namna ya kuunlock modem ya L850V Telecom Gabon, namna ya kuunlock Alcatel onetouch L850V Telecom Gabon, how to unlock Alcatel L850V Telecom Gabon, how to unlock L850V Telecom Gabon, how to unlock Alcatel onetouch L850V Telecom Gabon, how to unlock Alcatel L850V Telecom Gabon, how to unlock Alcatel onetouch L850V Telecom Gabon

No comments