Jinsi ya kuunlock Alcatel L100V itumie mitandao yote

Hii ni modem ambayo inayotumia SIM Card ya mtandao mmoja tu kwahiyo ukiweka SIM Card ya mtandao mwingine inakuomba NCK Code.

Kwa kushirikikiana na timu ya Fahusvera, utaweza kuunlock modem yako ya Alcatel L100V na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote ule unaoutaka.

Waiting Time: 1min - 5minutes

Namna ya kuunlock Alcatel L100V itumie mitandao yote
1. Chomeka modem yako kwenye computer ikiwa na SIM Card ya mtandao mwingine
2. Itafunguka browser yenye address kama hii 192.168.1.1
3. Jaza User Name na Password kisha bonyeza "OK"
4. Itakuomba NCK Code
5. Weka NCK Code ulizotumiwa na timu ya Fahusvera
6. Bonyeza "OK"

Hongera! Umefanikiwa kuunlock Alcatel Onetouch L100V na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote ule unaotaka

Tags: Jinsi ya kuunlock L100V itumie mtandao wowote, namna ya kuunlock Alcatel L100V itumie mitandao yote, jinsi ya kuunlock Alcatel onetouch L100V, jinsi ya kuunlock Alcatel L100V itumie mtandao wowote, namna ya kufungua Alcatel L100V itumie mitandao yote, jinsi ya kufungua Alcatel L100V itumie mitandao yote, jinsi ya kufungua modem ya L100V itumie mitandao yote, namna ya kuunlock modem ya L100V, namna ya kuunlock Alcatel onetouch L100V, how to unlock Alcatel L100V, how to unlock L100V, how to unlock Alcatel onetouch L100V, how to unlock Alcatel L100V, how to unlock Alcatel onetouch L100V

No comments