Jinsi ya kuunlock Alcatel IK40VD itumie mitandao yote
Hii ni modem ambayo imefungwa ili iweze kutumia SIM card ya mtandao mmoja na ukiweka laini ya mtandao mwingine inakuomba Code
Kwa kushirikiana na timu ya Fahusvera, utaweza kuunlock Alcatel IK40VD na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote
Waiting Time: 1min - 5minutes
Namna ya kuunlock Alcatel Link key IK40VD
1. Weka SIM Card ya mtandao mwingine kisha chomeka modem yako kwenye computer
2. Itafunguka Browser kwenye computer yenye address 192.168.1.1
3. Jaza User name na password kisha bonyeza "OK"
4. Itaomba NCK Code
5. Weka NCK Code ulizotumiwa na timu ya Fahusvera
6. Kisha bonyeza OK
Hongera! Umefanikiwa kuunlock Alcatel Link key IK40VD na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote

Tags: Jinsi ya kuunlock IK40VD itumie mtandao wowote, namna ya kuunlock Alcatel IK40VD itumie mitandao yote, jinsi ya kuunlock Alcatel onetouch IK40VD, jinsi ya kuunlock Alcatel IK40VD itumie mtandao wowote, namna ya kufungua Alcatel IK40VD itumie mitandao yote, jinsi ya kufungua Alcatel IK40VD itumie mitandao yote, jinsi ya kufungua modem ya IK40VD itumie mitandao yote, namna ya kuunlock modem ya IK40VD, namna ya kuunlock Alcatel onetouch IK40VD, how to unlock Alcatel IK40VD, how to unlock IK40VD, how to unlock Alcatel onetouch IK40VD, how to unlock Alcatel IK40VD, how to unlock Alcatel onetouch IK40VD

Post a Comment