Jinsi ya kuunlock Alcatel IK40V itumie mitandao yote
Hii ni modem ambayo imefungwa ili iweze kutumia SIM card ya mtandao mmoja na ukiweka SIM Card ya mtandao mwingine inakuomba Code
Kwa kushirikiana na timu ya Fahusvera, utaweza kuunlock Alcatel IK40V na utaweza kutumia mtandao wowote
Waiting Time: 1min - 5minutes
Namna ya kuunlock Alcatel Link key IK40V itumie mtandao wowote
1. Weka SIM Card ya mtandao mwingine kisha chomeka modem yako kwenye computer
2. Itafunguka Browser kwenye computer yenye address 192.168.1.1
3. Jaza User name na password kisha bonyeza "OK"
4. Itaomba NCK Code
5. Weka NCK Code ulizotumiwa na timu ya Fahusvera
6. Kisha bonyeza "OK"
Hongera! Umefanikiwa kuunlock IK40V na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote

Post a Comment