Jinsi ya kuunlock Alcatel IK40 Maroc Telecom itumie mitandao yote

Hii ni modem ambayo imefungwa ili iweze kutumia SIM card ya mtandao mmoja na ukiweka laini ya mtandao mwingine inakuomba Code

Kwa kushirikiana na timu ya Fahusvera, utaweza kuunlock Alcatel IK40 Maroc telecom

Waiting Time: 1min - 5minutes

Namna ya kuunlock Alcatel IK40 Maroc telecom itumie mitandao yote
1. Weka SIM Card ya mtandao mwingine kisha chomeka modem yako kwenye computer
2. Itafunguka Browser kwenye computer yenye address 192.168.1.1
3. Jaza User name na password kisha bonyeza "OK"
4. Itaomba NCK Code
5. Weka NCK Code ulizotumiwa na timu ya Fahusvera
6. Kisha bonyeza OK

Hongera! Umefanikiwa kuunlock Alcatel Link key IK40 Maroc telecom na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote

Tags: Jinsi ya kuunlock IK40 Maroc Telecom itumie mtandao wowote, namna ya kuunlock Alcatel IK40 Maroc Telecom itumie mitandao yote, jinsi ya kuunlock Alcatel onetouch IK40 Maroc Telecom, jinsi ya kuunlock Alcatel IK40 Maroc Telecom itumie mtandao wowote, namna ya kufungua Alcatel IK40 Maroc Telecom itumie mitandao yote, jinsi ya kufungua Alcatel IK40 Maroc Telecom itumie mitandao yote, jinsi ya kufungua modem ya IK40 Maroc Telecom itumie mitandao yote, namna ya kuunlock modem ya IK40 Maroc Telecom, namna ya kuunlock Alcatel onetouch IK40 Maroc Telecom, how to unlock Alcatel IK40 Maroc Telecom, how to unlock IK40 Maroc Telecom, how to unlock Alcatel onetouch IK40 Maroc Telecom, how to unlock Alcatel IK40 Maroc Telecom, how to unlock Alcatel onetouch IK40 Maroc Telecom

No comments