Jinsi ya kuunlock ZTE MF667 itumie mitandao yote

Hii ni modem inayotumia mtandao mmoja ambapo ukiweka SIM Card ya mtandao mwingine inakuomba NCK Code. 

Kwa kutumia njia hii, utaweza kuunlock ZTE MF667 na utaweza kutumia SIM Card wa mtandao wowote

Muhimu
- Hakikisha hakuna kifaa kingine kimechomekwa kwenye computer isipokuwa router yako tu.
- Hakikisha computer yako ina charge 50% na kuendelea
- Usitumie Unlocked firmware tofauti na hizi uta-brick modem yako. Itakufa jumla
- Usizime computer yako kipindi cha kurun unlocked firmware
- Usichomoe modem yako kipindi cha kurun unlocked firmware
- Soma kwanza maelezo kabla ya kuunlock modem yako
- Hatua moja ni muhimu sana, ukiruka hatua moja basi hatua nyingine haitafanya kazi

Mahitaji
- ZTE MF667 Unlocked Firmware
- ZTE MF667 Driver
- USB Cable
- PC

Namna ya kuunlock ZTE MF667 itumie mitandao yote
1. Chomeka router yako kwenye computer kwa USB Cable ikiwa haina SIM Card yoyote
2. Install ZTE MF667 Driver kwenye computer yako
3. Soma maelezo ya PDF kwenye File

Hongera! Umefanikiwa kuunlock ZTE MF667 na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote ule unaotaka

Tags: Jinsi ya kuunlock ZTE MF667, jinsi ya kuunlock MF667, jinsi ya kufungua ZTE MF667, jinsi ya kufungua MF667, download firmware for MF667, download firmware for ZTE MF667, download ZTE MF667 Firmware, download MF667, how to unlock ZTE MF667, how to unlock MF667

No comments