Jinsi ya kuunlock Huawei B310s-22 Africell Uganda
Hii ni router ambayo imefungwa ili utumie SIM Card moja tu wa Africell Uganda na ukiweka SIM Card ya mtandao mwingine inakuomba NCK Code
Kwa kutumia njia hii, utaweza kuunlock Huawei B310s-22 Africell Uganda na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote ule unaoutaka.
Muhimu
- Hakikisha hakuna kifaa kingine kimechomekwa kwenye computer isipokuwa router yako.
- Hakikisha computer yako ina charge 50% na kuendelea
- Usitumie Unlocked firmware tofauti na hii uta-brick router yako. Itakufa jumla
- Usizime computer yako kipindi cha kurun unlocked firmware
- Usichomoe router yako kipindi cha kurun unlocked firmware
- Soma kwanza maelezo kabla ya kuunlock router yako
- Hatua moja ni muhimu sana, ukiruka hatua moja basi hatua nyingine haitafanya kazi
Namna ya kuunlock B310s-22 Africell Uganda itumie mitandao yote
1. Install Huawei Drivers i.e FC Serial Driver & Huawei Datacard Driver
2. Run Huawei B310s-22 unlocked Firmware
3. Soma maelezo ya PDF kwenye File
Hongera! Mpaka hapa utakuwa umefanikiwa kuunlock B310s-22 Africell Uganda na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote

Tags: Jinsi ya kuunlock B310s-22 Africell Uganda, Jinsi ya kuunlock Huawei B310s-22 Africell Uganda, namna ya kufungua B310s-22 Africell Uganda itumie mitandao yote, namna ya kufungua B310s-22 Africell Uganda, Namna ya kufungua B310s-22 Africell Uganda, how to unlock B310s-22 Africell Uganda, how to unlock Huawei B310s-22 Africell Uganda, how to unlock B310s-22, Download B310s-22 firmware, Download B310s-22 Firmware, Download firmware for B310s-22 Africell Uganda
Post a Comment