Jinsi ya kuunlock E8231s-1 Photonmax 3G Tata USB Modem
Hii ni modem iliyofungwa ili itumie SIM Card ya mtandao mmoja tu kwahiyo ukiweka SIM Card ya mtandao mwingine inakuomba NCK Code
Kwa
kutumia njia hii, utaweza kuunlock modem yako ya E8231s-1 Photonmax 3G
Tata na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote ule unaoutaka
kulingana na mahitaji yako
Muhimu
- Hakikisha hakuna kifaa kingine kimechomekwa kwenye computer isipokuwa modem yako.
- Hakikisha computer yako ina charge 50% na kuendelea
- Usitumie Unlocked firmware tofauti na hii uta-brick modem yako. Itakufa jumla
- Usizime computer yako kipindi cha kurun unlocked firmware
- Usichomoe modem yako kipindi cha kurun unlocked firmware
- Soma kwanza maelezo kabla ya kuunlock modem yako
- Hatua moja ni muhimu sana, ukiruka hatua moja basi hatua nyingine haitafanya kazi
Namna ya kuunlock E8231s-1 Photonmax 3G Tata itumie mitandao yote
1. Chomeka modem yako kwenye computer ikiwa na SIM Card ya mtandao mwingine. Itafunguka browser ya computer yako. Ifunge
2.
Run Universal mastercode Calculater, bonyeza kwenye Huawei kisha weka
IMEI za modem yako kisha bonyeza Calculate kupata flash code
Hongera! Umefanikiwa kuunlock E8231s-1 Photonmax 3G Tata na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote ule unaoutaka
Post a Comment