Jinsi ya kuunlock E5573s-856 Dhiraagu itumie mitandao yote
Kwa kutumia njia hii utaweza kuunlock Huawei E5573s-856 Dhiraagu na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote ule unaoutaka
Muhimu
- Hakikisha hakuna kifaa kingine kimechomekwa kwenye computer isipokuwa router.
- Hakikisha computer yako ina charge 50% na kuendelea
- Usitumie Unlocked firmware tofauti na hizi uta-brick router yako. Itakufa jumla
- Usizime computer yako kipindi cha kurun unlocked firmware
- Usichomoe router yako kipindi cha kurun unlocked firmware
- Soma kwanza maelezo kabla ya kuunlock router yako
- Hatua moja ni muhimu sana, ukiruka hatua moja basi hatua nyingine haitawezekana
Zingatia
A.
Chomeka router yako kwenye computer kwa USB Cable ikiwa haina SIM Card
yoyote. Install Huawei Mobile Partner (ikifunga ifunge) na Huawei
DataCard Driver
B. Run DC Unlocker Client as administrator kisha bonyeza kwenye Magnifying glass
C. Ikileta detail za router yako. Kama hivi kwenye picha anza na hatua namba 11,12, & 13.
Namna ya kuunlock Huawei E5573s-856 Dhiraagu itumie mtandao wowote
1.
Install Huawei Mobile Partner na Huawei DataCard Driver kwenye computer
yako. Baada ya kuinstall, Huawei mobile partner itafunguka ifunge
2.
Fungua router kwa screew driver, kisha gusanisha hizo point A na B kwa
pamoja (usiachie) kisha chomeka router yako kwenye computer yako kwa USB
Cable ikiwa haina SIM Card. Ukiingia kwenye Computer Management
>>> Device Manager >>>>> Port (COM & LPT)
utaona driver imeandikwa Huawei Mobile Connect - 3G PC UI Interface
3. Run Balong USB Downloader kisha bonyeza Detect. Utaona COM Port ya router yako imeionekana
5. Chagua usbloader.bin kisha bonyeza Open
6. Bonyeza Load, iache mpaka imalize yenyewe
7. Bonyeza vidoti vitatu tena kwenye Load
8. Chagua E5573s usblsafe.bin kisha bonyeza open
9. Bonyeza Load, iache mpaka imalize yenyewe. Funga Balong USB Downloader
10.
Utaona kwenye Computer Management >>> Device Manager
>>>>> Port (COM & LPT) kuna driver hizi FC -
Application Interface na FC - PC UI Interface
11. Run SBC Code Calculator, bonyeza Huawei, weka IMEI za router yako kisha bonyeza kwenye Calculate kupata Flash Code
13. Run E5573s-856 Dhiraagu WEB UI Firmware, bonyeza Start kisha Next. Iache mpaka imalize yenyewe ikimaliza bonyeza Finish. Chomoa USB Cable kisha weka SIM Card ya mtandao wowote ule unaoutaka
Ikifail
ku-run E5573s-856 Dhiraagu WEB UI Firmware, rudia hatua namba
2,3,4,5,6,7,8 na 9. Anza hatua namba 13 ya ku-run E5573s-856 WEB UI
Firmware. (Zingatia hatua A, B, C & D)
Hongera! Umefanikiwa kuunlock Huawei E5573s-856 Liquid na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote ule unaotaka
Post a Comment