Jinsi ya kuunlock E3372h-153 Camtel itumie mtandao wowote
Kwa kutumia njia hii, utaweza kuunlock Huawei E3372h-153 Camtel na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote.
Muhimu
- Hakikisha hakuna kifaa kingine kimechomekwa kwenye computer isipokuwa modem.
- Hakikisha computer yako ina charge 50% na kuendelea
- Usitumie Unlocked firmware tofauti na hizi uta-brick modem yako. Itakufa jumla
- Usizime computer yako kipindi cha kurun unlocked firmware
- Usichomoe modem yako kipindi cha kurun unlocked firmware
- Soma kwanza maelezo kabla ya kuunlock modem yako
- Hatua moja ni muhimu sana, ukiruka hatua moja basi hatua nyingine haitafanya kazi
Namna ya kuunlock Huawei E3372h-153 Camtel itumie mtandao wowote
1. Install Huawei Driver kwenye computer yako. HUAWEI_DataCard_Driver_6.00.08.00_Setup & Mobile Broadband HL Service
Soma
Run
DC Unlocker 2 Client as administrator. Bonyeza kwenye magnifying glass,
ikileta taarifa za modem yako. Anzia hatua namba 1, 4, 5, 6, 7, 8, 9,
10, 11 & 12
2. Fungua Modem yako ya Huawei E3372h-153 4G Camtel kwa Screw Driver. Kisha piga shot kwa kugusanisha hizi point huku umechomeka kwenye computer yako. Itadetect na COM Port za modem yako itaonekana. Ikifunguka browser ya router yako ifunge.
3. Run Balong USB Downloader kisha bonyeza Detect. Com Port ya Modem yako itaonekana. Bonyeza kwenye vidoti vitatu kwenye Load Chagua usbloader.bin kisha bonyeza Open
Bonyeza Load. ikimalizika, funga Balong USB Downloader Tool
4. Run Universal Master Code, Bonyeza kwenye Huawei Tab, weka IMEI za modem yako kisha bonyeza kwenye Calculate kupata Flash Code
6.
Run DC Unlocker 2 Client as administrator. Bonyeza kwenye magnifying
glass. Utaletewa taarifa za modem yako. Mwisho mwa hizo taarifa, weka
hizi code AT^NVRDEX=50503,0,128 kisha bonyeza ENTER kwenye keyboard ya
computer yako.
- Funga Huawei mobile partner dashboard
- Funga Tab ya Huawei dashboard kwenye browser yako
- Chomoa modem yako kwenye computer kisha chomeka tena. Endelea na hatua namba 5
7. Utaletewa NV Harsh code. Kama hivi
Nitumie NV Harsh Code kwa SMS, WhatsApp & Telegram +255767434014 kupata NCK Code
8. Run Huawei E3372h-153 Camtel Upgrade firmware. Bonyeza Start kisha Next iache mpaka imalize. Bonyeza Finish
9. Chomoa modem yako kwenye computer. Weka SIM Card ya mtandao mwingine kisha chomeka kwenye computer
10. Itafunguka browser yenye address hii "192.168.8.1"
11. Weka User name na "Password" kisha bonyeza "Log In" ambazo ni admin kwa zote
12. Weka NCK code ulizotumiwa na timu ya Fahusvera kisha bonyeza "Apply"
Hongera! Umefanikiwa kuunlock Huawei E3372h-153 Camtel na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote ule unaotaka
Post a Comment