Jinsi ya kuunlock B315s-607 Zamtel itumie mitandao yote

Hii ni router ambayo imefungwa ili utumie SIM Card moja tu wa Zamtel na ukiweka SIM Card ya mtandao mwingine inakuomba NCK Code

Kwa kutumia njia hii, utaweza kuunlock Huawei B315s-607 Zamtel na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote ule unaoutaka.

Muhimu
- Hakikisha hakuna kifaa kingine kimechomekwa kwenye computer isipokuwa router yako.
- Hakikisha computer yako ina charge 50% na kuendelea
- Usitumie Unlocked firmware tofauti na hii uta-brick router yako. Itakufa jumla
- Usizime computer yako kipindi cha kurun unlocked firmware
- Usichomoe router yako kipindi cha kurun unlocked firmware
- Soma kwanza maelezo kabla ya kuunlock router yako
- Hatua moja ni muhimu sana, ukiruka hatua moja basi hatua nyingine haitafanya kazi

Namna ya kuunlock Huawei B315s-607 Zamtel itumie mitandao yote
1. Install Huawei Drivers i.e FC Serial Driver & Huawei Datacard Driver
2. Chomeka router yako kwenye computer kwa USB Cable
3. Soma maelezo ya PDF kwenye File

Hongera! Mpaka hapa utakuwa umefanikiwa kuunlock B315s-607 Zamtel na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote

 
Tags: Jinsi ya kuunlock B315s-607 Zamtel, Jinsi ya kuunlock Huawei B315s-607 Zamtel, namna ya kufungua B315s-607 Zamtel itumie mitandao yote, namna ya kufungua B315s-607 Zamtel, Namna ya kufungua B315s-607 Zamtel, how to unlock B315s-607 Zamtel, how to unlock Huawei B315s-607 Zamtel, how to unlock B315s-607 Zamtel, Download B315s-607 firmware, Download B315s-607 Zamtel Firmware, Download firmware for B315s-607 Zamtel

No comments