Jinsi ya kuunlock Alcatel X602D Airtel Nigeria
Kwa kutumia njia hii utaweza kuunlock modem yako ya Alcatel X602D Airtel Nigeria na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote ule unaoutaka
Muhimu
- Hakikisha hakuna kifaa kingine kimechomekwa kwenye computer isipokuwa modem yako.
- Hakikisha computer yako ina charge 50% na kuendelea
- Usitumie Unlocked firmware tofauti na hii uta-brick modem yako. Itakufa jumla
- Usizime computer yako kipindi cha kurun unlocked firmware
- Usichomoe modem yako kipindi cha kurun unlocked firmware
- Soma kwanza maelezo kabla ya kuunlock modem yako
- Hatua moja ni muhimu sana, ukiruka hatua moja basi hatua nyingine haitafanya kazi
Namna ya kuunlock Alcatel onetouch X602D Airtel Nigeria
1. Weka SIM Card ya mtandao mwingine kisha chomeka modem yako kwenye computer
2. Install dashboard ya modem yako ili kuinstall driver za modem yako
3. Baada ya kuinstall, itafunguka dashboard ya modem yako. Ifunge
4. Run Alcatel X602D Airtel Nigeria unlocked firmware
5. Soma maelezo yaliyopo kwenye File
6. Ukimaliza tengeneza Connection Profile
Hongera! Mpaka hapa umefanikiwa kuunlock Alcatel X602D Airtel Nigeria na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote ule unaoutaka.
Post a Comment