Angalia na Download Movie na Series Bure Kwenye Simu & Computer (Kitabu)

Kutokana na changamoto ya watu kushindwa kuangalia na kudownload movies na series mtandaoni, timu ya Fahusvera imekuandalia kitabu ambacho kitakusaidia kuangalia na kudownload movies na series bure mtandaoni kwenye simu na computer yako.

Baada ya kusoma kitabu hiki, utakuwa na maarifa ambayo yatakusaidia kupakua na kuangalia Movies na series mtandaoni bure, mbali na hiyo pia utaweza kuangalia channel mbalimbali live kama vile CNN, BBC, Cartoon Network, MBC 2, Sony Pixi, Aljazeera, MTV, BBC Earth, Ben Sport, ESPN, Sky Sport, Discovery, Sony Ten 1 n.k bure, utaweza kuangalia mpira Live bure, kusikiliza Radio Live na music bure kwenye simu na computer. Utaweza kuzuia matangazo ya internet yanayojitokeza kwenye simu na computer pindi unapokuwa mtandaoni.

Utaweza kupakua Movies na Series zenye mb chache (mb ndogo) yaani kuanzia, 69mb-100mb (kwa series), 160mb-400mb (Series & Movies), na zenye High Quality yaani 720p na 1080p. Pia kuna software ambazo zitakusadia kuzuia matangazo kwenye simu na computer bila kusahau internet downloader manager ambayo itakusaidia kudownload video kutoka website mbalimbali kama vile YouTube

Kwenye computer utaweza:-

Kwenye simu utaweza:-

Pia tumekuandalia channel ya Telegram ambayo utaweza kuomba movies au series yoyote utakayotaka na tutaiweka bure na utaipakua bure. Nimekuwekea Game of throne Season 1-8, Into the bandland Season 1-3, Banshee Season 1-4, The Originals Season 1-5, The American Season 1-6, Homeland Season 1-8, Peaky Blinders Season 1-6, Red Notice 2021, IP Man (The Awakening) 2022, Minions: The rise of Gru 2022, Squid Game season 1, Thor GOD of Thunder 2022, The Animal Kingdom Season 1-6, MacGyver Season 1-4, Spider Man (No way Home) 2022, The Batman 2022, Uncharted 2022, Morbius 2022, The Man from Toronto 2022, Doctor Strange, Tehran Season 1-2, Snowfall Season 1-4, Queen Sugar Season 1-6, Mossad Season 1-2, LeBureau Des Legendes Season 1-5, The 7th Voyage of Sinbad 1958, Bloodsport 1988, The Elite Season 1-3, Mystery Train 1989, Black Widow 1954, Teen Wolf Season 1-6, Merlin Season 1-4, My Daughter Killer 2022, Neon 2022, Home Alone 2 Lost in New York 1992, Annabelle 2014, Annabelle:Creation 2017, Wrong Turn 2003, Wrong Turn 2: Dead End, Wrong Turn 3: Left for dead 2009, Wrong Turn 4: Bloody Beginnings 2011, Wrong Turn 5: Bloodlines 2012, Wrong Turn 6: Last Resort 2014, Ghost House 2017, Evil Dead 2013, The Doll 2 2017, Friday The 13TH 2009 & 2017, Ghost Diary 2016, The Flash Season 1-6, The Nun 2018, The Flash Season 1-6, Vikram (2022), Samrat Prithviraj (2022), Major (2022), Dhaakad (2022), Anek (2022), Harmony (2022) na zingine nyingi. Hizi ni baadhi tu ya movies na Series, bado tunaendelea kuweka.

Hapa nimedownload movies na series zenye mb chache (mb ndogo). Tafuta movie hii ya Indonesia inaitwa SAJEN (2018) ni nzuri hasa kwa wale wapenzi wa Horror movies

Hapa naangalia kwa kutumia simu kwenye VLC Media Player. Kumbuka kuweka file la subtitle na movie kwenye folder moja yaani liwe sehemu moja.

Muhimu
Kitabu hiki kimeandikwa na timu ya Fahusvera, hairuhusiwi mtu yoyote kuchapicha tena (Editing), kuweka kwenye website au blog zingine bila idhini ya mwandishi. Hatua kali za kisheria zitachukuliwa. Wasiliana na timu ya Fahusvera +255767434014 kwa maelezo zaidi. Haki zote zimehifadhiwa

Tags: Namna ya kudownload Movies kwenye simu, Namna ya kudownload movies kwenye computer, Jinsi ya kudownload movies kwenye computer, jinsi ya kudownload movies kwenye simu, Pakua Movies kwenye simu, pakua movies kwenye computer, Download Muvi, pakua muvi, Jinsi ya kudownload Movies na Series, Namna ya kudownload Movies na Series, Namna ya kudownload Series kwenye simu, Namna ya kudownload series kwenye computer, Angalia Series, Angalia Movies, Download Movies, Download Series, Pakua Series kwenye simu, Pakua series kwenye computer, website za kudownload movie, website za kupakua movies na series, movies na series zenye mb chache, movies na series zenye mb ndogo, movies na series zenye high quality, angalia movies mtandaoni, angalia series mtandaoni, website za kudownload series, website za movie, jinsi ya kudownload movies na series kwenye simu na computer, magroup ya movies Telegram, magroup ya series Telegram, jinsi ya kudownload movies na series Telegram

No comments